Domo Sauti AI · AI ya sauti ya Kiswahili

Sauti ya Kiswahili,
kwa sekunde.

Geuza maandishi kuwa sauti asilia kwa matangazo, video na redio.

Dakika 1 bure · Hakuna kadi

Changamfu

Habari za asubuhi! Karibu kwenye huduma yetu mpya ya sauti ya Kiswahili, iliyotengenezwa hapa Tanzania.

0:00 / --:--
TangazoChangamfuTulivuKujiaminiSeriousFactHabariUshauriHadithiUtaniMsisimkoPayukaHasiraHuzuniMshangaoUpendoNong'onaKuchokaUvivuHarakaPolepoleIbadaTangazoChangamfuTulivuKujiaminiSeriousFactHabariUshauriHadithiUtaniMsisimkoPayukaHasiraHuzuniMshangaoUpendoNong'onaKuchokaUvivuHarakaPolepoleIbada
Kiswahili fasaha

Pamoja na Kiingereza kilichochanganywa.

Sekunde chache

Andika, chagua sauti, pakua MP3.

Lipa kwa M-Pesa

Lipia dakika unazotumia tu.

Maswali

Domo AI ni nini?

Domo Sauti AI, wengi huiita Domo AI au AI Domo, ni huduma ya Kitanzania inayogeuza maandishi kuwa sauti ya Kiswahili kwa kutumia akili bandia (AI). Unaandika, unachagua sauti, unapakua MP3.

Maandishi marefu kiasi gani?

Hadi herufi 5,000 kwa mara moja, takriban dakika tano za sauti, zikisomwa kwa mkupuo mmoja.

Nikikosa sauti, nakatwa?

Hapana. Unakatwa pale tu sauti inapokamilika, kwa sekunde zake halisi.

Naweza kuchanganya na Kiingereza?

Ndiyo. Lugha inatambuliwa yenyewe, hata ukiandika kama unavyoongea.

Nalipiaje?

Kwa pesa ya simu. Weka namba yako, utapokea ombi la malipo kwenye simu, weka PIN yako, na dakika zinaingia papo hapo.

Kuna majaribio ya bure?

Ndiyo. Akaunti mpya hupata sekunde za bure za kujaribu, mara moja tu kwa kila mtu.

Dakika zangu zinaisha muda?

Hapana. Dakika ulizonunua zinabaki kwenye akaunti yako mpaka uzitumie.

Jaribu sasa, ni bure.

Anza bure